Tuesday, November 8, 2016

WEMA SEPETU ASHINDWA KUJIZUIA KWA USHINDI WA TUZO TATU KWA DIAMOND...ASEMA HAYA

TUZO za All African Music Awards (AFRIMA) Zimefanyika jijini Lagos nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo (jana) na Diamond Platnumz Star wa single ya Kidogo yenye collabo na Mastaa wa P Sqaure, ameibuka mshindi wa jumla ya tuzo tatu, akiwa anaongoza kwenye list za washindi wote.
Leo November 7, 2016 Diamond Platnumz amepost kwenye page yake ya Instagram akiwashukuru mashabiki na wote waliompigia kura zilizomfanya kushinda tuzo tatu.
Hii ni post ya Diamond Platnumz maalumu kwa watanzania na mashabiki wake duniani nzima.
diamondplatnumz
Jus wanted to thank you and let you know that your favorite artist won 3 Awards last night on @afrimawards Nigeria.... SONG OF THE YEAR - UTANIPENDA
EAST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR & BEST AFRO POP ARTIST.... Thank you so much for your Votes🙏
(Ningependa niwashukuru na niwajuze Kuwa kipenzi chenu jana nimeshinda tuzo tatu...NYIMBO BORA YA MWAKA AFRICA- #UTANIPENDA MSANII BORA WA AFRO POP AFRICA na MSANII BORA WA AFRICA MASHARIKI...shukran sana sana kwa Kura zenu🙏)

Sasa maneno ya Wemasepetu leo baada ya Diamond Kushinda tuzo tatu yakawa kama hivi.
"Makofi matatu kwa Tuzo tatu... "Tanzania's Pride..." Sema picha hii Kali saaaaaaanaaaaa... Utasema sio wa Tandale...(Sorry Bro)... Congrats once again...!!"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI