Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kushoto) akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo jana mjini Dodoma wakati wakijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Bunge hilo Yahya Khamis Hamad.
Picha na Bunge Maalum la Katiba-Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo jana mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba Pande Ameir Kificho akitoa mchango wake wakati wa kikao cha Kamati hiyo jana mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo jana mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment