Tuesday, November 8, 2016

GIGY MONEY AFUNGUKA KUHUSU DIVA KUDAI JOKATE NI GUNDU KWA ALI KIBA

Gigy Money
MWANADADA Diva alitweet kuhusiana na uwezo wa alikiba katika kuimba na kumalizia kuwa “Girlfriend anakutia gundu” kitu ambacho wengi walijiuliza inamaana Jokate (Kama inavyo julikana kuwa ndiye wa Kiba) kuwa anamtia gundu?
Diva
Jokate
Leo Mrembo Gigy_Money amejitokeza kumtetea Jokate:
"Honestly jojo wangu mtoto classic uyu 😍wache waseme unagundu ila mwisho wa siku watakuelewa tu kwa mafanikio yako hadi unafikia umri wao yani we utakua Michael Jackson wa kike unajituma mwaya #USIFORCETUFANANE #HATUFANANI" Gigy Money

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI