Katika kile kinachosemekan kuwa watu maarufu katika karne hii wamekuwa wakijiweka wazi kwa kukiri kujiunga katika jumuiya ya watu wanaomwabudu shetani "Freemason" kama Jay z, Kanye West, Drake, Lady Gaga na wengine kibao kwa minajili ya kujipatia utajiri na umaarufu na ndipo hata siri zao zimekuwa zikivuja siku hadi siku.
Mingoni mwa siri zao hizo ni nembo ambazo zimekuwa zikiwawakilisha zikiwa na maana ya kumpinga Mungu na kumpa sifa shetani.
Msalaba uliogezwa "Inverted Cross" ni moja kati ya nembo hizo ukiwa na maana ya kwenda kinyume na ukristu unaomtukuza Mungu.
Juma Jux katika video yake mpya ya Nitasubiri anaeyoendelea kushoot huko China ameonekana akiwa ametupia vazi lenye msalaba uliogeuzwa.
Juhudi zinaendelea kupata mawasiliano nae ili kujua ukweli wa jambo hili kama anajua chochote kuhusu hili au yeye kwake hizo ni swagz tu.
Kama mdau wa kawaida imekaaje hii kwako??? ni swali tu!
thecapitaltz.com
0 comments:
Post a Comment