Thursday, November 20, 2014

MMMH...FASHION HII SASA???: MODO APITA MITAANI LIVE NA CHUP* TUU #NGUOYAKUCHORA (18 YRS) *PHOTOS+VIDEO*

SARAH Baboro na David Lesage, wanafunzi wanaosomea Public relations huko Belgium, waliambiwa watengeneze video katika mtihani wao wa mwisho ambayo ingekuwa gumzo na kuangaliwa na watu wengi zaidi.
Katika kuhakikisha wanafanya kitu kitakachowapelekea kupata alama nzuri katika mtihani wao wa mwisho wao wakamtafuta mtu maalumu wa make-up wa kifaransa ambaye pia ni rafiki yake Sarah anayeitwa Marie P na wakamtafuta rafiki yao mwingine ambaye ni modo wakatengeneza idea.
Idea nzima ilikuwa ni kutengeneza video ambayo ingemuonesha msichana ambaye amevaa G-String pekee ambapo itachorwa kama jinsi flani hivi na asigundulike kiurahisi kwa kuchorwa mwilini.
Kama unavyoona katika picha hizi, mwanadada huyu akichorwa kwaajili ya kuanza kufanya video hiyo.
Hapa modo akikatiza mitaani.
Mmmmh….! Wadhungu ni shiiiiiiiiidah!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI