Friday, November 21, 2014

HAWA NDIO MASTAA WA KIKE WALIOONYESHA SEHEMU ZAO ZA SIRI BILA WAO KUJUA #AJALIKAZINI *PICHAZ*

WENGI husema ajali ni ajali, kwani hutokea popote na wakati wowote, katika hili la wasanii pia hii ilikuwa ni ajali tu.
Pengine ilitokea kitambo yaani muda kidogo, lakini kwa wale walioshuhudia matukio haya, hubakia na kumbukumbu vichwani mwao kwa mwingi sana.
Jicho la mwandishi wa habari pia huwa ni kamera ambayo huweza kutunza kumbukumbu hizi kwa muda mrefu.
Ilishawahi kumtokea mwanamuziki huyu maarufu duniani Tony Braxton ambaye alikuwa akifanya onesho huko nchi za wenzetu ambapo kinguo alichokua amevaa kamba zake zikakatika…Hapo sasa, waliokuwa wamezima simu zao, sijui nguvu ya kuziwasha ilitokea wapi…Ghafla wakalinasa tukio hilo…!
Hapa ajali hiyo ishatokea sasa…unafanyaje??
Mara….
Msamalia akajitokeza kumvalisha koti na kusovu msala woote, show ikaendelea…!
Lakini kumbe hayuko peke yake hata na wengine waliwahi kukumbwa na kadhia hii kama vile...
Lady Gaga, akiweka mapozi ya hatari mbele ya wapiga picha.
Nicki Minaj akipiga sho ya nguvu,, MARA kinguo kule, na kuweka mambo hadharani…!
Bibie Mollie akiweka pozi kwaajili ya still picha na mnato… mara kinguo kulee, mambo hadharani…!
Naomi Campbell naye hivyo hivyo..Mambo hadharani…!
Towie naye kama kawa...Mambo hadharani…!
Labda unaweza kuwa unajiuliza kwanini habari hii na kwanini picha za wakati huu m-baya zinaripotiwa, hii ni kujikumbusha kuwa kuna matukio mengine huweza kuepukika, lakini mengine hayawezekaniki kuepukika.
Sasa unafanyaje???
Ni vyema kuwa mwangalifu kwa viwalo unavyotaka kuvivaa pindi unapohitaji kutoka au kwenda katika hafla fulani, jaribu kuvaa nguo zinazositili mwili wako vizuri nawe huenda ukakwepa kadhia hii.
Ni hayo tu…! But usipite hata siku moja bila kusoma mtandao huu nasi tutakuletea habari motomoto kama hizi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI