Thursday, November 13, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE ATOA NAMBA YA SIMU KWA WATANZANIA WAMJULIE HALI *PICHA*

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS kumjulia hali na kumpa pole, Mhe. Rais atapokea ujumbe wako na kuujibu

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI