RIHANNA alitembelea mjengo huo unaoheshimiwa zaidi dunia akibeba uhusika wa Olivia Pope kwenye tamthilia ya Scandal.
Kerry Washington ndiye anayeigiza uhusika wa Olivia kwenye tamthilia hiyo.
Katika picha moja aliyopost Instagram, Riri aliandika: ‘CYRUS!!! LET ME IN!!’
Sketi ya kitenge? Rihanna akiwa White House
0 comments:
Post a Comment