


Mwalimu akisalimiana na Rais Iddi Amini Dadah wa Uganda wakati wa kikao
cha OAU mjini Addis Ababa, Ethiopia enzi hizo. Kushoto kwa Mwalimu ni
Waziri wa Mambo ya Nje Mhe John Malecela

Mwalimu akiwa na mume wa Malkia wa Uingereza, Prince Philip

Mwalimu akimlaki Waziri Mkuu wa wa Kwanza wa China Chou Enlai ambaye mtindo wake wa mashati ilirithiwa na Watanzania na kujulikana kama Chunlai

Mwalimu katika mazungumzo na Rais Iddi Amin Dadah wa Uganda. Kushoto ni Mama Maria Nyerere

Mwalimu Nyerere alkiongoza matembezi ya kuunga mkono Azimio la Arush

Familia ya Mwalimu Nyerere

Picha rasmi ya Mwalimu na Mama Maria Nyerere

Mwalimu na Madiba

Mwalimu na Mhe John Samwel Malecela

Mwalimu akimkumbatia Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kutoa hotuba ya
kukubali matokeo ya Urais alipogombea kwa mara ya kwanza mwaka 2005. Mhe
Benjamin Mkapa alishinda

Mwalimu na Mama Maria Nyerere










.jpg)
.jpg)



.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)










.jpg)







































0 comments:
Post a Comment