Wednesday, October 15, 2014

HAPPY BIRTHDAY DOROTHY CHARITY....!

IKIWA leo (tar 15/10) ni siku nzuri na maalumu kwa mtoto mzuri Charity, Wengi wamemtakia mema katika siku hii na siku za usoni, ni matumaini yetu ULIMWENGU WA HABARI atakua na kuishi vyema na ndugu pamoja na familia yake.
Mama mzazi ameandika hivi katika ukurasa wake wa facebook akimtakia mema mwanae:
"May God give you many days filled with lots of blessings, Love and happiness here on earth. Long live my daughter!! Daddy, Mammy & your brothers loves you very very very much. Happy Birthday Dorothy Charity!!!"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI