AKIONGEA na 255
kwenye kipindi cha XXL, Clouds FM, Nay amesema pamoja na kufanya muziki yeye ni
mfanyabiashara na anaamua kuwekeza ili hata kama muziki ukigoma awe ni kitu cha
kumuingizia kipato.
“Nimeamua kutengeza
madaftari yangu, kuna madaftari ya Mr Nay yatakuwa yanatoka. Ni madaftari ya
kawaida na counter books ambazo zitakuwa zikisambazwa kuanzia nursery, primary,
sekondari mpaka vyuo.Nay amesema tayari ameshapata tenda ya kusambaza vifaa
hivyo mkoani Mara.
“Ni kitu ambacho tayari kiko confirmed,” amesisitiza.
Amesema madaftari
hayo yataingia sokoni mwishoni mwa mwezi wa 12.
0 comments:
Post a Comment