Thursday, April 17, 2014

NAKUMBUKA SKYLIGHT BAND WALIVYOWAPA RAHA MASHABIKI WAO PALE THAI VILLAGE!

 Aneth Kushaba AK 47 akiongoza Waimbaji wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar
 Winfrida Richard akiwapa  mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya Thai Village.
 First lady wa Skylight Band Aneth kushaba akicheza kwa raha zakeee jukwaniii wiki iliyopita ndani ya Thai Village Masaki.
 Musiki ni Hisia na ndicho anachokifanya hapa mpiga gitaa mahiri wa Skylight band.
 Aneth Kushaba AK 47 Akiimba kwa raha zake ndani ya Thai Village Masaki wiki iliyopita

 Sio kikao bali ni mashabiki wa Skylight band wakiwa tuliiiiiii wakisubili kuimbiwa wimbo wa happy birthday,keki ileeee kwa mbaliiiii.
 Hapo sasa vijana watanashati wa Skylight Band wakiongozwa na Sam mapenzi katikati wakifanya yao Ndani na Thai village Masaki wiki iliyopita
 Hapo sasa vijana watanashati wa Skylight Band wakiongozwa na Sam mapenzi katikati wakifanya yao Ndani na Thai village Masaki wiki iliyopita
 Sam mapenzi akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya Thai Village
 Sam mapenzi akisikilizia rythm za wapiga vyombo wake kwa umakini kabisa
 Rudisha simu yangu,rudisha mali zanguuu rudishaa huyo ni Joniko Flower akiimba kwa utamu kabisa ndani ya Thai Village Masaki Wiki iliyopitaa
 Joniko Flower akicheza na sauti yake tamuuuu kuwapa burudani mashabiki wa Skylight Band

 Kwach kwachuuuu ni Sam mapenzi na Mwimbaji mwenzie wakicheza sebene kali la Skylight Band
 Hapo sasa hapooooo ni raha tupuuuu tu 

 Wewe weweee aiiii aiiiii Ni utamu wa sebene kali hapoo la Skylight Band
 Tingisha Tingisha kiunooo kiunoooo Joniko Flower akisebenuka na waimbaji wenzie 

 Divas wakaliiiiiii wakipata ukodak kwa raha zaoooooo
 Wadau wa Skylight wakifurahia show kali toka Kwa Sky Light Band Ndani ya Thai Village

 Haya sasa wadau wakishow love kumwimbia birthday person wa siku
 Yeeeeeee yeeeeee kata kekiiiiiiii kata kekiiiiii
 Hahahahaha Sisikiiii tenaaa mnasemajeeee vileeee?ni furaha tu hapa ya kusheherekea siku yake ya kuzalia
 Haya kipenzi changuuu kula kekiii hiii na iwe kumbukumbu
 Wewe wewe hehehe Madivas waserebuka kwa raha zaoooo

 Ni raha tupuuuu tu hapa mziki mtamu na mzuri toka kwa Skylight Band 
 Mdau mkubwa sana wa Skylight akikata keki kwa ajili ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa,na kama kawaida Skylight Band walimwimbia wimbo maalum wa siku yake ya kuzaliwa
 Wapenzi wa Skylight Band wakiserebuka kwa raha zaooooo


 Aneth kushaba Ak 47 akibadilishana akichat na marafiki zake ndani ya Thai Village

 Touching body Touching body weweeeee ni raha tuuu hapa kwa dada huyu akiserebukaa
 Hahahahahahaha Hawa Skylight ni moto wa kuotea mbaliiii la sivyo utaunguaaa unasikia vitu ivyooooo kaka huyo akisema kwa furaha kubwaaaaaaa
 Testimon Testimo ehhhhhh hahaha kwa rahaaaa zaoooo wakaka hawaaaaaa
 Mashabiki wakifurahia kwa rahaaa zao mziki mzuri wa skylight Band
 Hawa jamaaa wanajiita manyoyaaa ni balaaaaa kwa stageeeee
 Haya twendeeee sasa twendeeeee vijana hawa wa manyoya wakicheza kwa rahaaaaa zaooooo



 Hahahahahahahaha wewe Aneth kushaba na wenzio ni balaaaaa sana akisema dada huyu baada ya kukunwa vilivyo na Skylight Band
Pa pa pa, Ni mtayarishaji muziki wa Skylight band akiyarudi mangoma kwa raha zakeeeee

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI