Thursday, April 17, 2014

DIDA ALIPOMFANYIA MUMEWE 'EZDEN' BONGE LA BIRTHDAY PARTY [PICHA]

Birthday boy katika pose
Ujumbe safi kutoka kwa wife Didah wa Ezden
Birthday boy akikata cake yake

Mahaba nilishe nikulishe



Mtu na shem wakerose ndauka @ndauwandauka
Director wa kutumainiwa George Tyson ilikuwa raha sana
Sauda na shem wake @saudamwilima79 
@ezdee255 na mdogo wake birthday boy Sufian ...
Sameera hiyo cake hahahahahah
Mmmmh Mahaba sasa!!!

Fredwaaa na mkewe Rahabu wa 100.5 
Mambo ya champange sasa!!!!
Hapo chacha,,, fredwaaa na neema wa sufian....
Happy people

Mambo ya menu

Na kinywaji kikipote potea taratibuuuu

Rose ashafungua shampen na kitu kinatiririka…. Raha ilioje!!!?
Sufian…!
Neema…!
Fredwaa na kitu cha shampen sasa!!!









George tyson naye alikuwepo.

Picha: Dida Mitikisiko blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI