Saturday, June 28, 2014

HAMISA MOBETO NAE MMMMH!!! ATUPIA PICHA HII MITANDAONI…!

MODO matata anayetikisa afrika mashariki kiujumla AMISA  MOBETO ametupia picha instagram picha ambayo inaonyesa miguu yake ilivyojaa vizuri na si mironjo kama walivyo mamodo wengi, picha hii ieonekana kuwapagawisha vidume sana kwani imepata like za kutosha tangu alipoitupoitupia  komenti usipime.
Duuuh haya bhana!!!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI