Saturday, June 28, 2014

MMMH LULU NA JOTI SIJUI KUNANINI KINAENDELEA KATI YAO????

WASANII hawa maarufu wamekuwa kivutio kikubwa kwa watu nchini hasa wale wapenda filamu kwani ni waendeshaji wa kipindi kinachosaka vipaji vya kuigiza nchini TMT kinachooneshwa kupitia runinga ya ITV.
Humo ndani wawili hawa hawaachi kuwashangaza watu kwa kumalizia kipindi na miishilizo yao matata, lazima utajikuta tu unakaa na kukitazama kipindi chao.
Huko Insta hutawala picha za wawili hawa, mara sijui joti anataka kumbusu Lulu, au sijui Lulu anamtolea jicho la kimahaba Joti ilimradi tu ni vituko kila kukicha.
Mengi haya wanayoyafanya ni katika kutafuta tu attention kwa watu ili waangalie kipindi chao.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI