Saturday, June 28, 2014

EXCLUSIVE BRAND NEW VIDEO: UNANICHORA - BEN POL FEAT JOH MAKINI

MWANAMUZIKI Ben Pol ameachia single mpya "Upendo" na video mpya "unanichora" aliyomshirikisha Joe Mkani
Video hiyo imesimamiwa na Director Nisher, ambae amefanya nae kazi kwa mara ya pili, ya kwanza ni pale alipotengeneza pia video ya Jikubali.
Ben Pol amesema kufanya kwake kazi na Nisher kwa mara ya pili ni kutokana na chemistry aliyonayo kati yake na Nisher, lakini pia amesema Nisher ni mtu ambae bado anajifunza, kwahiyo kuna vitu anaweza kugusa vikashangaza watu, na pia ni mtu ambae anasikiliza pia mteja wake anataka nini, kwa kifupi sio mjuaji.. 
Tazama video hiyo hapa chini 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI