Friday, March 28, 2014

MTAZAME VIDEO QUEEN CHIPUKIZI KUTOKA CBE DODOMA ANAYEFANANA NA WEMA SEPETU

Video queen huyu chipukizi anayefanya vizuri na ataendelea kufanya vizuri ni mwanafunzi wa CBE Dodoma wa mwaka wa kwanza ambaye anatambulika kwa Jina la Caro ambapo wengi wao hudhani yeye ni mmoja kati wa ndugu wa Beautifully Onyinye, Madam Wema sepetu kwa jinsi walivyofanana.
Kaa tayari sasa kwa kumwona kwenye kichupa cha Jaco Beats - Walionuna ambacha soon kitakuwa hewani.
Huyu ndiye mrembo atakayetokea kwenye kichupa cha msanii maarufu kama Jaco Beats kwenye wimbo wake mpya unaoitwa walionuna.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI