Sunday, August 30, 2015

MAJAMBAZI: MMOJA AFARIKI NA MWINGINE KUJERUHIWA NDANI YA DALADALA

Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa wakati watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliposimamisha daladala eneo la Jangwani na kuingia ndani kupora mkoba unaosadikiwa kuwa na fedha.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI