Tuesday, November 4, 2014

KITUKO....OMMY DIMPOZI AWAACHA WATU MIDOMO WAZI KWA KUTUPIA KAMA IRENE UWOYA *PICHAZ*

DUUUUH..! watu wa fashion bhana mnatuchanganya sana, kwanini siku hizi imekua vurugu mechi, katika pitapita mtani kamera zetu zimewanasa mastaa hawa kila mmoja kwa wakati wake wakiwa matinga vitu vya aina moja, wakati wote ni jinsia tifauti, sasa tunashindwa kuelewa ni vya kiume au vya kike? au ndo mambo ya fasheni na ubunifu vaa chochote mradi tu usikae mtupu..
Mmh nawe mdau wetu mkubwa wa masuala ya fasheni unasemaje kuhusu hili..?

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI