Tuesday, November 4, 2014

KUTANA NA MKE WA MSANII JACOB STEVEN 'JB' A.K.A BONGE LA BWANA *PICHAZ*

KATIKA pita pita mtandaoni tumekutana na picha
hizi za JB a.k.a Bonge la bwana akiwa ameziweka
katika akaunti yake ya Instagram na kuonyesha ni jinsi gani anajivunia kuoa na kuwa na mke mzuri kama huyu. Tazama picha hapo chini uone ni jinsi gani jamaa anajiamini na anampenda mke wake na haoni shida kumuweka mtandaoni ili mashabiki zake wamfahamu shemeji au wifi yao.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI