Tuesday, November 4, 2014

EXCLUSIVE!!! BEYONCE AONGOZA KWAKUA MSANII ANAYEMILIKI PETE YA GHARAMA KUBWA DUNIANI, WACHEKI WENGINE HAPA!!! *PICHAZ*

KUTOKANA na list iliyotengenezwa na Richestlifestyle.com, Hawa ndio watu maarufu wanaomiliki/waliowahi kumiliki pete za gharama kubwa.
No.1 Inashikiliwa na aliyewahi kuwa maarufu katika runinga Elizabeth Taylor. Alivalishwa pete hiyo na mmewe Richard Burton; ambaye alimuoa Elizabeth Taylor mara mbili, mwaka 1964 na1975.
No.2 Pete ya msanii Beyonce inagharama ya $5 million, alivalishwa na mmewe Jay Z.
#3. Anna Kournikova – $2.5 – $6 Million (makadilio). Alivalishwa na msanii Enrique Iglesias
#4. Paris Hilton – $4.7 Million. Alipewa na mchumba na mtoto wa billionaire, Paris Latses
#5. Mariah Carey – $2.5 Million - Pete ya ngagement toka kwa Msanii Nick Cannon!
#6. Catherine Zeta Jones – $2 Million - Pete toka kwa mmewe Michael Douglas.
#7. Kim Kardashian – $2 Million - alivalishwa Engagement ring toka kwa mtalaka wake, Kris Humphries
#8. Jacqueline Kennedy – $1.5 Million - Engagement ring toka kwa marehemu mumewe na rais wa zamani wa Marekani, John.F. Kennedy
#9. Jennifer Aniston – $1 Million
#10. Eva Longoria – $800,000… alivalishwa Engagement ring toka kwa mtalaka wake, Tony Parker...

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI