RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ameanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.
Usikose kuangalia mazungumzo hayo yanayooneshwa moja kwa moja na TBC 1 pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA RAIS IKULU, NOVEMBA 4, 2014
0 comments:
Post a Comment