Tuesday, November 4, 2014

PAUL MAKONDA APINGA VIKALI KUHUSIKA NA FUJO KATIKA MDAHALO WA KATIBA *VIDEO*

Paul Makonda
KATIBU Mwenezi Idara ya Hamasa na Chipukizi ya UVCCM, Paul Makonda, amekana kuhusika katika vurugu zilizotokea katika mdahalo wa Katiba Iliyopendekezwa ambao ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere chini ya Mwenyekiti wake Joseph Butiku.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI