Tuesday, November 4, 2014

JANET JACKSON AJICHIMBIA NDANI KWA MWAKA MZIMA NA KUONEKANA HADHARANI KWA MARA YA KWANZA HAPA.>>! *PICHAZ*


BAADA ya kufunga ndoa na Bilionaire kutoka nchini Qatar 'Wissam Al Mana, Janet Jackson alipotea kabisa kwenye mambo ya muziki na kwenye mambo ya burudani. Hivi karibuni watu waliomiss sana walimuona pale alipohudhuria Vogue Fashion Dubai Experience, ikiwa ni mara ya kwanza anaonekana hadharani baada ya mwaka mmoja.
Janet mwenye miaka 48 aliongea mwaka jana kuhusu muziki na kusema anamipango ya kufanya nyimbo kadha ila anataka ziwe na ubunifu tofauti ni kilichoko sasa kwenye tasnia ya muziki.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI