LUPITA NYONG'O amelipamba Jarida La Glamour kama 'Mwanamke Wa Mwaka' na haya ndio mambo matano aliyosema kuhusu maisha yake.
1] Anapenda sana kuigiza ila anapata changamoto nyingi kuishi kama mtu maarufu.
2] Ndani ya mwaka mmoja ametoka kwenye kuangalia Tuzo za Oscar kwenye Tv mpaka kushinda tuzo ya Oscar.
3] Imehamasishwa sana na maisha ya Oprah.
4] Aliambiwa yeye ni mzuri akiwa nyumbani ila vyombo vya habari vilimpa mtazamo tofauti.
5] Ameteka watu wengi na style yake inayoitwa 'The Lupita Effect'
0 comments:
Post a Comment