Wednesday, February 11, 2015

USIPITWE NA MTINDO HUU MPYA WA NYWELE: PIXELATED HAIR TREND *PICHAZ*


securedownload (1)
NI mtindo mpya wa nywele ambao umetokana na michoro iliyobuniwa katika kompyuta ambao unajuliakana kama  #xpresionpixel ambao huzifanya nywele kuonekana kama zimechorwa umbo fulani hivi, ulibuniwa na studio moja huko madrid ambao huusisha rangi tofauti tofauti.
securedownload
Jarida la Estetica lina ripoti kuwa kubuni mtindo huu kumewagharimu watafiti hao muda wa miezi saba, ambapo wanapenda wanasema;
“an innovative coloring process that achieves a new chromatic dimension and color pixelated effect on the hair, while playing with movement and transforming these textures into the appearance of the pixel effect—something never seen before!”
securedownload (2)
securedownload (3)
securedownload (4)
securedownload (5)
securedownload (6)
securedownload (7)
securedownload (8)
securedownload (9)
securedownload (10)
securedownload (11)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI