Tuesday, November 4, 2014

JAMAA ALIEYEPANDA JUU YA MZOGA WA NYANGUMI AKILI KUWA NI 'UJINGA'

MWANAUME mmoja aliyejitosa baharini kabla ya kupanda juu ya mzoga wa nyangumi uliyokuwa ukiliwa na papa amekiri kuwa ulikuwa ni ujinga uliokithiri mipaka uliompelekea kuhatarisha maisha yake na sasa anaomba radhi.
Tukio hilo lililotokea baharini karibu na mji wa Perth Australia limefanya bwana huyo mwenye umri wa miaka 26 kuzomewa na umma.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI