Tuesday, November 4, 2014

WAKAZI WA TUNDUMA - MBEYA WALIPOAZIMIA KWA PAMOJA KUVAA SARE ZA CHADEMA

Hapa ni mkoani mbeya wilaya ya Momba jimbo la Mbozi mashagharibi mji wa Tunduma almaarufu kama Chadema Town mji huu upo border ya Zambia na Tanzania.
Wanachadema wa mji huu waliazimia kwa pamoja kuwa kuanzia tarehe 1-11-2014 kila mwanachadema aanze kuvaa skafu, kofia, shati ama nguo yoyote ya chadema kila anapokuwa kwenye majukumu yake,

Azimio hilo limeanza kazi tar 02 na kama unavyoona kwenye picha hapo juu ni moja ya sehemu ya mji huo watu wakiendelea na majukumu yao ya kila siku huku wakiwa wamevalia sare za chadema..!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI