MSANII wa muziki wa kizazi kipya hapa bongo Meninah ambaye ni zao kutoka Bongo Star Search miezi michache iliyopita ameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond Platnumz, Ijumaa iliyo pita kwenye kipindi cha ‘Friday Night’ Menina alifunguka kuwa ”Nipo single sina mume wala mpenzi” mara baada ya kupigwa maswali na Sammisago
Monday, December 22, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Itazame video hii ambayo wawili hao wameshirikiana pamoja na msanii mwingine Jessie J. Hii ni katika show waliyopafomu pam...
-
TUKIO hili ovu la watumishi hao lilitokea wiki chache zilizopita katika mji wa Geneva Uswizi, ambapo watumishi wa kidini maarufu kama ma...
-
Ni kinga dhidi ya magonjwa ya moyo, presha, vidonda vya tumbo, saratani ya figo, kukosa choo. Ndizi mbivu ni tunda ambalo linafahamika...
-
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mtumishi wa Mungu, Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo aliyelitumikia Kanisa lake la Angli...
-
Gareth Bale ameifungia Real jana ikirejea kileleni mwa La Liga REAL Madrid imehitimisha wiki nzuri kwa kurudi kileleni mwa La Liga,...








0 comments:
Post a Comment