JAMAA mmoja ametembea juu ya mji wa Chicago huko Marekani akiwa amefunga macho na juu ya Waya.
Nick Wallenda alivuka mto Chicago kuanzia kwenye orofa ya Marina City Towers hadi upande wa pili kwenye jengo la Leo Burnett .
Wallenda aliwastaajabisha watui walipotembea akiwa amefunga macho kati ya majengo ya Marina City huku akikumbana na upepo mkali uliokuwa ukivuma kwa zaidi ya kilomita 40 kwa saa.
0 comments:
Post a Comment