Thursday, September 25, 2014

POLISI WAWILI WALIOPIGA PICHA NA 50 CENT MAHAKAMANI WAADHIBIWA *PICHAZ*


ASKARI wawili waliopozi kupiga picha na rapper 50 Cent kwenye jengo la Mahakama huko Florida wamepewa adhabu kwa kosa la kuacha kazi waliyopewa kwa muda ule na kupiga picha na mtu maarufu aliyepita pembeni ambaye ni 50 Cent.
Kamanda wa askari hao anasema askari hao wamefanya kosa la kupiga picha na 50 Cent sababu tu ni msanii na haswa wakiwa kwenye sare za polisi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI