- DR. DRE ametajwa kuwa msanii wa hiphop aliyeingiza pesa zaidi mwaka huu akishikilia namba moja na kumpita Puff Daddy aliyekuwa nafasi hio mwaka jana.
- Dr Dre ametajwa kuwa na utajiri wa dola za Kimarekani milioni 620.
- Jay Z na Puff Daddy wameshikilia namba mbili wakiwa na dola milioni mbili 60 hii ikiwa hatua kubwa ambayo Jay z amepiga toka mwaka 2010.
- 1. Dr. Dre – $620 million
- 2. Jay Z – $60 million
- 3. Diddy – $60 million
- 4. Drake – $33 million
- 5. Macklemore & Ryan Lewis – $32 million
- 6. Kanye West – $30 million
- 7. Birdman – $24 million
- 8. Lil Wayne – $23 million
- 9. Pharrell Williams – $22 million
- 10. Eminem – $18 million
- 11. Nicki Minaj – $14 million
- 12. Wiz Khalifa – $13 million
- 13. Pitbull – $12 million
- 14. Snoop Dogg – $10 million
- 15. Kendrick Lamar – $9 million
- 16. Ludacris – $8 million
- 17. Tech N9ne – $8 million
- 18. Swizz Beatz – $8 million
- 19. 50 Cent – $8 million
- 20. Rick Ross – $7 million
- 21. J. Cole – $7 million
- 22. DJ Khaled – $7 million
- 23. Lil Jon – $7 million
- 24. Mac Miller – $7 million
Thursday, September 25, 2014
HAWA NDIO WASANII WA HIPHOP WALIOLIPWA PESA ZAIDI MWAKA HUU, #HIP HOP CASH KINGS
4:36 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Picha zote hizi zilipigwa kati ya mwaka 2006 na 2007 na zinamwonyesha mwanadada Wema Sepetu, miaka hiyooooo, NI SHIDAAAAH. Tazama picha...
-
VALENTINE'S Day ama kwa Kiswahili Siku ya Wapendanao, huadhimishwa kila Februari 14 ambapo kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele, ...
-
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza Waimbaji wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye ukumbi wa Thai Villag...
-
SASA ni miaka nane tangu aanze kucheza soka ya ushindani mwaka 2005 katika klabu ya Kagera Sugar ya Bukoba, lakini kwa namna ali...
-
BAADA ya kufunga ndoa na Bilionaire kutoka nchini Qatar 'Wissam Al Mana, Janet Jackson alipotea kabisa kwenye mambo ya muziki na kw...







0 comments:
Post a Comment