Friday, September 26, 2014

PICHA ZAIDI ALIZOACHIA BEYONCE KUZIMA TETESI ZA UJAUZITO *PICHAZ*

Bey-and-Jay-600-x-450-3
Beyonce na Jay Z katika pozi
HIT MAKER wa Drunk in Love, Beyonce Knowles amezima tetesi za kuwa na ujauzito baada ya kumwaga picha za kutosha kwenye tovuti yake akiwa mapumzikoni na familia yake zinazomuonyesha akiwa kitumbo wazi.
Mbali na picha hizo kumekuwepo pia na habari za chini ya kapeti juu ya wanandoa hao kuhusu kushirikiana tena kwenye albamu mara baada ya kupost kipande kifupi cha video kwenye mtandao wa Youtube walichokipa jina la Bang Bang Part 1.
Bey-Beach-600-x-450
Beyonce akiponda raha za Dunia ufukweni
Bey-Bikini-Dress
Wahenga wanasema kusoma hujui hata picha huoni
Bey-Python-Bikini
Mrs.Carter akiwa ametinga kivazi cha kuogelewa
Blue-600-x-450
Mtoto wa Beyonce na Jay Z, Blue Ivy akifanya yake mchangani.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI