BAADA ya kuingiza albamu yake mpya ya Ayo (Joy) sokoni, Rapa wa Nigeria ‘Wizkid’ ameamua kuwapa mashabiki wake ladha nyingine tofauti baada ya kumshirkisha rapa wa Young money, Tyga kwenye Remix ya ngoma yake ya Show You The Money.
Isikilize Hapo Chini kisha toa maoni yako.
0 comments:
Post a Comment