Friday, September 26, 2014

TAZAMA PICHA TATU ZA NGUVU ZIKIMUONYESHA STEVEN KANUMBA JR AMBAYE AMEZALIWA NA DADA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

Image
Mama Kanumba na Mama Lulu wakimpakata mtoto
Image
Muigizaji nyota wa Bongo movie Elizabeth Michael maarufu kama lulu akimpakata mtoto huyo.

Image
BAADA ya kupita mwaka mmoja tangu nguli wa filamu nchi afariki marehemu Steven Kanumba, nyuma yake bado ataendelea kukumbukwa hasa katika familia yake kwani dada wa marehemu Steven Kanumba amejifungua mtoto na kuamua kumpatia jina la Steven Kanumba Jr ikiwa ni moja ya kumuenzi kipenzi kaka yao huyo.
Muigizaji nyota wa Bongo movie Elizabeth Michael maarufu kama lulu alikuwepo pamoja na mama yake mzazi hospitalini alipojifungua dada wa marehemu kanumba ikiwa ni moja ya kushow love na kudumisha upendo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI