RAPPER wa Atlanta, Wacka Flocka ametoa kali ya mwaka baada ya kutangaza nafasi ya ajira kupitia ukurasa wake wa Instagram ya mtu atakayekuwa akimsokotea bangi kwa malipo ya dola za kimarekani 50,000 (Tsh80 milioni) kwa mwaka na kuwataka wale wote wenye nia watume maombi yao kwenye karatasi ya kunyongea bangi.
”Im Paying 50k A YEAR FOR A BLUNT… HASHTAG #ICANROLL aliandika Flocka na kuongeza All resumes must be sent on a rolling paper or blunts #seriousinquiriesonly #Gpen.
0 comments:
Post a Comment