Sunday, February 1, 2015

ANGALIA JINSI SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM ILIVYOFANA MJINI SONGEA *PICHAZ*

  Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.

  Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete  wakipokea gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
 Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.

 Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete  wakipokea gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete  wakipokea gwaride la heshima ililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
  Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea wanachama wapyab akiwa na Mbunge wa Songe Mjini Dkt Emmanuel Nchimi nan Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika uwanja
wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
 Msanii Diamond akipongezwa na chipukizi wa UVCCM baada ya kutumbuiza katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI