Sunday, February 1, 2015

EX-BOY WA NICKI MINAJ, 'SAFAREE' AZUNGUMZIA KUMUANDIKIA MASHAIRI MINAJ

 ALIYEKUWA mpenzi wa rapa Nicki Minaj ‘Safaree Samuels’ amekanusha tetesi kuwa alikuwa mwandishi wa siri wa nyimbo za Nicki Minaj. Kwenye interview na kipindi cha Break Fast Club Safaree alisema 
Niliwahi kumsaidia Nicki Minaj kuandika nyimbo mara kwa mara ” kitu ambacho kilinakiliwa tofauti na mashabiki.
Kupitia twitter Safaree amesema
“Kama kuna mitu kilisikika kwenye interview ambacho kimafanya watu wafikirie nilimuandikia nyimbo zote Nicki, naomba radhi , ila mju Nicki ni miongoni mwa vitu muhimu vilivyotokea kwenye maisha yangu ” .
“Nicki anauwezo mkubwa wa kuandika album yake yote mwenyewe bila msaada wangu, na ikija kwenye issue ya kuandika mashairi makali, namkubali na yeye ni namba moja ” .

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI