Sunday, February 1, 2015

HUWEZI AMINI KAMA HII NDIO PARKING YA MAGARI YA MPENZI WA DIAMOND PLATNUMZ 'ZARI' *PICHAZ*

ZARI Hassan ni mmoja kati ya mastaa wanaomiliki vitu vingi vya Thamani hapa Afrika Mashariki.
Maisha yake ya kimapenzi yanamuonesha mwanamke huyu akiwa na watu mashuhuli na wenye vipato vikubwa kitu ambacho hakitakushangaza endapo utaoanisha na utajiri alionao mwanadada huyu mrembo.
Hivi karibuni ameshare picha hizi akionesha Yard yake iliyofurika magari ya kifahari.





0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI