Sunday, February 1, 2015

SERENA WILLIAMS AZIDI KUWAKIMBIZA KWENYE TENNIS *PICHA/VIDEO*

Serena Wills
UMRI wake ni miaka 33, Serena na Venus ni ndugu, mtu na dada yake na wote ni wachezaji wa mchezo wa Tennis, tumeshuhudia mara nyingi namna ambavyo wanafanya vizuri kwenye mchuano hiyo kwa kipindi kirefu duniani na kuvunja rekodi mbalimbali.
Sio mara moja wawili hao wamekutana uwanjani na kushindana, lakini jana January 31 ilikuwa ni fainali ya michuano ya Australia Opens, uwanjani ilikuwa kati ya Serena Williams na Maria Sharapova ambapo Serena aliendelea kuweka rekodi yake nzuri kwenye mchezo huo kwa kuibuka mshindi.
.
Serena Williams na Maria Sharapova.
.
Serena na Venus Williams. Hapa ilikuwa ni siku za nyuma walipokutana kwenye michuano ya Tennis
TENNIS-OPEN-AUS-FINAL


Hapa unaweza kucheki ilivyokuwa wakati akikabidhiwa Tuzo yake.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI