Sunday, February 1, 2015

MMMMMH AISEEE HEBU SHUHUDIA MWENYEWE HIZI TATTOO 9 ZA AJABU DUNIANI *PICHAZ*

Mary Jose Cristerna, Ni mwanamke wa kimexico ambaye anajulikana kama Vampire Woman.
Ms Cristerna, ametengeneza hadi meno yake na kuonekana kama ya Vampire.
Vile vile amejichora moyo ili watu waweze kuusikiliza.
Mwanaume huyu wa kivenezuela anajulikana kama Red Skull.

Kala Kaiwi, anashikilia rekodi ya kuwa na masikio makubwa yenye upana wa 109mm.
Kala Kaiwi, anajichukulia kama msanii toka Hawaii.
Mkolombia huyu Carlos Dehaquiz, amejichora na kuonekana kama mjusi.
Mwanamke huyu ananyanyua Jeans yake kuonyesha aina ya Tattoo yake aliyojichora mguu wa kushoto ambayo inaonesha picha kibao na fuvu ndani yake.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI