Saturday, June 7, 2014

USUPASTAA SHIDAAH!!! PICHA MAARUFU INAYOSUMBUA MITANDAONI YA LUPITA NYONG’O

lupitaaaaaaaa
Mshindi wa tuzo ya Oscar na star mpya wa movie ya star wars amepigwa picha akiwa beach na picha hiyo kama kawaida ya internet inasambaa kwa kasi kubwa.
Chonde: Wasanii wa kibongo jaman, maana hawakawii kuanza kutuletea vichup*

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI