Baada ya picha za Mheshimwa Komba Kuvuja, Hii nayo ni picha ya utupu kama alivyozaliwa ya mbunge wa ukerewe Mheshimiwa Salvatory Machemli imevuja akiwa na mrembo. |
Mbunge Akiwa Kazini |
MFULULIZO wa matukio haya, unaogopesha wengi hasa ukizingatia huu ni wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu wa wabunge, Madiwani na Urais.
Tunachojiuliza ULIMWENGU WA HABARI je ni kweli haya yanatendeka na waheshimiwa hawa au ni watu tu wanawachafulia nyadhifa zao.
Kama ni watu wanatengeza hizi picha, ni vyema kuacha mara moja matendo haya kwani yanaharibu maadili kwa taifa hili changa kisiasa.
POLENI WOTE mnaochafuliwa kisiasa! Mungu awape nguvu kupambana na majanga haya
0 comments:
Post a Comment