Sunday, May 18, 2014

SOMA KOMMENT HIZI ZILIZOTOLEWA NA BAADHI YA MASTAA WA BONGO BAADA YA DIAMOND KUCHAGULIWA KUSHIRIKI TUZO ZA BET


Tanzania kwa sasa yang'arishwa na mwanamuziki Diamond Platnumz katika uwanda wa burudani na hata fursa nyingine mbalimbali, kwani imekua habari nzuri kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, ambapo baadhi ya mastar wa Tanzania wamekubali kutoa ya moyoni baada ya taarifa hiyo miongoni mwao ni pamoja na Mkubwa Fela, Wema Sepetu, Ay, Belle 9, Vanesa Mdee na wengine wengi.
Na hizi ndizo post za mastar hawa.
 

 

 

 

 

 

 


 

 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI