Saturday, May 17, 2014

MAAJABU KARNE… PAKA AMUOKOA MTOTO ALIEKUA AKING'ATWA NA MBWA… (VIDEO)


Hili limewahuzunisha wengi sana, kwa jinsi mtoto alivyovamiwa, lakini furaha ilitawala baadae baada ya paka kutokea na kumuokoa mtoto wanaishi nae nyumba moja huko Marekani.
Itazame video hii…!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI