Wednesday, April 2, 2014

SEMINA YA UONGOZI MKAKATI WA MAWASILIANO YA AFYA YAENDELEA IRINGA

Mtoa mada Catherine Gembe akielezea kuhusu Mchakato wa Mawasiliano wakati alipokua akitoa mada ya Uongozi katika Mkakati wa Mawasiliano ya Afya (Leadership in Strategic Health Communication). Katika mafunzo ya wiki mbili yanayojumuisha wadau toka sekta mbalimbali mjini Iringa.Washiriki wa Mafunzo ya wiki mbili wakifuatilia kwa makini mada toka kwa mwamasishaji(hayuko pichana),kuhusu Uongozi katika Mkakati wa Mawasiliano ya Afya, yanayofadhiliwa na Serikali ya Marekani kupitia mradi wa Tanzania Capacity and Communication Project (TCCP), mjini Iringa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI