Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze, ambapo amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na Changamoto za miundombinu ya barabara kutokana na mvua ambazo zinaendelea kunyesha nchini kote, jambo ambalo linaweza kuchangia wagombea kushindwa kuwafikia baadhi ya wananchi katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo, Nape ameongeza kwamba hata hivyo chama hicho kitashinda kwa asilimia 94 katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili ijayo.Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi katika mkutano na waandishi wa habari mjini Chalinze.
Wednesday, April 2, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
MWAKA huu Psquare hawataki mchezo na mtuu baada ya kuachia nyimbo tatu kwa mpigo ikiwemo sapraiz ya nguvu ya video yao mpya inayoitwa Ej...
-
MREMBO huyu Jina lake ni Melissa magiera, ni Model na mwanafunzi anayesomea Project Managament...... Hii ni moja ya kaption katika in...
-
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimpa cheti cha uraia wa Tanzania, Mkimbizi wa Kisomali mwenye asili ya Kiba...
-
NI MAONI TU YA MDAU....! Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya mae...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika v...
0 comments:
Post a Comment