Saturday, November 12, 2016

MSANII 'THE WEEKND' NA MPENZI WAKE 'BELLA HADID' WAACHANA

BAADA ya kudumu kwenye mahusiano kwa miezi 18, rapper The Weeknd na mpenzi wake Bella Hadid ambaye ni mwanamitindo wameachana.
Mtu wa karibu na wawili hao ameuambia mtandao wa E! News, “This is not the end. However, Hadid and The Weekend both need to do them for a while.”
“Without the dark you would never see the stars…,” ameandika Hadid kwenye moja ya picha alizoziweka kwenye mtandao wa Instagram.

Hata hivyo kwa sasa The Weeknd amekataa kuzungumza chochote kuhusiana na hilo kwa kuwa yupo kwenye maandalizi ya mwisho ya kuachia albamu yake mpya ya “Starboy” Novemba 25 ya mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI