Tuesday, November 15, 2016

ANGALIA BRAND NEW *VIDEO* YA CHEMICAL – MARY MARY

Video ya rapper Chemical ya wimbo wake mpya Mary Mary.
Wimbo una kisa cha kuvutia na unaonesha uwezo mkubwa wa rapper huyu kiundishi. Wimbo ulitayarishwa na Maximizer huku video ikiongozwa na Minzi Mims.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI