Friday, November 11, 2016

RICK ROSS AZUNGUMZIA UKWEPAJI NA ULIPAJI WA KODI ANAYODAIWA

SIKU chache moja baada ya taarifa za rapa Rick Ross kukwepa kulipa kodi ya toka mwaka 2012 ambayo ni dola za kimarekani $5.7.
Rick Ross anasema “Nimebarikiwa kupata pesa kutoka kwenye muziki na biashrara zangu zingine na kama msanii na na jukumu la kulipa kodi kama raia mwingine tu, tatizo hili lilitokana na wapiga mahesabu wangu wa mwaka 2012 kukosea jambo flani ambalo kwa sasa linarekebishwa na tutalipa”.
Rick Ross anadaiwa dola milioni tano na kama asingekuwa na uwezo wa kulipa basi wangesha mfilisi baadhi ya mali zake.
Mwanzoni mwa mwaka huu Rozay alitajwa kwenye orodha ya wasanii wa hiphop wenye pesa nyingi zaidi number 20 kwenye Forbes “Hip-Hop Cash Kings” akimiliki dola milioni $10 million.
Kwa sasa Rozay anarekodi album yake mpya chini ya lebo mpya ya Epic Records ‘MMG’s Self Made 4”.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI